Kampuni ya vipodozi ya Dove imetoa body wash (sabuni za mwili) mpya na wame tengeneza chupa ambazo wenyewe wanasema zinaonysha shape ya kila mwanamke na kwa upande wao wanataka wanawake wawe proud na mwili wao, Well ni strategy nzuri lakini kweli mtu anunue body wash ambayo ina shape ya mwili wake yaani mfupi anunue fupi, mnene,mwembaba, mrefu dove really now?
Kwa sasa kila mtu ana jaribu kuvutia biashara yake kwa kutaka kila mtu ajitambue yu mzuri vile alivyo iwe rangi, shape ya mwili au ku rock natural hair na ni kitu kizuri lakini kabla ya kufanya unacho taka kufanya unatakiwa utambue je unao wapelekea bidhaa wataipokea jinsi wewe unavyo taka waipokee?
na the internet is not playning likija swala zima la kumkosoa mbunifu aliye haribu kitu na hizi ni baadhi ya tweet za watu wakikosoa kampuni hio
Je nini maoni yako kuhusu hizi body wash bottles?
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…