SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ENTRE CECILE WAUNGANA NA  ASPINAL
Habari

ENTRE CECILE WAUNGANA NA ASPINAL 

Kampuni kubwa za mitindo Etre Cecile na Aspinal wameungana na kutengeneza mikoba yenye rangi tofauti tofauti na mitindo tofauti, “muunganiko huu haukutarajiwa ndo maana kazi ime fanyika vizuri kwa bidhaa zote mbili, inashangaza na kusisimua jinsi ambavyo wateja wetu wametupokea” amesema mkuregenzi wa ubunifu bibi Mariya Dykalo kutoka kampuni ya Aspinal. ujasiri wake na uwezo wa kuchanganya rangi ulinivutia na kunifanya nijiulize ni nini tunaweza kukifanya tukiungana pamoja katika bidhaa moja tuna mshukuru jasmin na watu wake kwa kufanya kazi pamoja nasi.

Etre-Cecil-4-Vogue-26Aug15-pr_b_592x888 Etre-Cecil-7-Vogue-26Aug15-pr_b_592x888 Etre-Cecil-13-Vogue-26Aug15-pr_b_592x888 Etre-Cecil-14-Vogue-26Aug15-pr_b_592x888 Etre-Cecil-12-Vogue-26Aug15-pr_b_592x888 Etre-Cecil-18-Vogue-26Aug15-pr_b_592x888 Etre-Cecil-17-Vogue-26Aug15-pr_b_592x888 Etre-Cecil-15-Vogue-26Aug15-pr_b_592x888

Related posts

Leave a Reply