SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Review – Rayvanny Coke Studio Africa
Habari

Fashion Review – Rayvanny Coke Studio Africa 

Ni msimu mwingine umetujia wa Coke Studio Africa, ambapo mwaka huu the theme ni DISCOVERY, tukiwa na shauku kubwa ya kudiscover muziki mzuri pia mavazi maridadi toka kwa wasanii mbalimbali barani Africa.

Wasanii mbalimbali watatumbuiza na kutuburudisha huku wakipendeza na kung’ara; wakiwemo Yemi Alade, Rayvanny, Nandy, Kaligraph Jones na wengine kibao.

Well this week tulimuona our very own Rayvanny. Katika wasanii wa WCB wenye coordination katika uvaaji well Rayvanny tops our list. Katika performance yake, he served us dark colours, nyeusi ikiwa in control but aliweza kupendeza. Tulijifunza kuwa one can stay away from bright colours yet akaweza kupendeza with the dull colours such as black and grey.

Also his signature bandana iliweza kumatch na kucoordinate na outfit yake so it was a big thumbs up kwake na team nzima ya stylists waliohusika

 

Bonyeza hapa kutazama Coke Studio Africa Season 5, Episode 1.

Wasanii gani watakuwepo kwenye Episode 2 Jumamosi hii? Comment jibu lako hapo chini.

Related posts

2 Comments

  1. แทงบอล

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/fashion-review-rayvanny-coke-studio-africa/ […]

  2. ยารักษาหนองใน

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/fashion-review-rayvanny-coke-studio-africa/ […]

Leave a Reply