Mwanamitindo matata kutoka Tanzania Flaviana Matata amezindua vipodozi vya kucha yaani rangi za kucha ziitwazo Lavy. Vipodozi hivi ni mradi wake mwenyewe Flaviana Tunasema hongera Flaviana kwa kutuletea cha kwetu wenyewe kutoka nyumbani

lavy2 lavy3

lavy