SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FLAVIANA MATATA SHINES BRIGHT ON REFINERY29 OCTOBER MAGAZINE
Habari

FLAVIANA MATATA SHINES BRIGHT ON REFINERY29 OCTOBER MAGAZINE 

International Model kutoka Tanzania Flaviana Matata, Ambae alianza kazi hii kama Miss Universe 2007, na kwa sasa ana endeleza kazi zake Nje ya Nchi ame onekana kupaisha vizuri bendera ya Tanzania katika ulimwengu wa mitindo. Mwezi huu Flaviana ame tokea katika Gazeti kubwa la mitindo la refinery29, Flaviana akiwa na wana mitindo wengine wame onekana katika Gazeti ilo katika kipengele cha Beauty Inspiration ambapo zinaongelewa habari za nyota na urembo.

Hizi ni baadhi ya picha za flaviana katika gazeti hilo

flavy

flaviana

image

Unaweza ku click link hii kuona zaidi kuhusu Flaviana katika gazeti hilo http://www.refinery29.com/zodiac-beauty-inspiration-october

 

 

Related posts