Gazeti kubwa la mitindo kutoka ulaya liitwalo Cosmopolian lime kutwa na hali iliyo kutwa na gazeti la Elle baada ya jarida lao jipya kuwaita The Kardashian “America’s First Family“. Katika gazeti hili jarada la kwanza limepambwa na wanawake sita wa familia ya The Kardashian yaani Chriss Jenner,Kim,Khloe,Khortney,Kendall Na Kylie wakiwa wamevalia nguo nyeupe.
Kuwaita “America’s First Family” kumeleta maneno kwa baadhi ya watu wakisema Familia ya Rais Obama ndio “America’s First Family”
Na wengine kusema ni ubaguzi wa rangi baadhi ya comment hizo kutoka Twitter
This is also why your editorial staff cannot be full of white girls. Or that one Black person who is afraid of losing her job.
@Luvvie @Cosmopolitan absolutely CAN.NOT. This is soooo reminiscent to a sequel of #WhiteChicks #BlackTwitter
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…