SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Gq Wamtaja Asap Rock Kuwa Prettiest Man Alive
Habari

Gq Wamtaja Asap Rock Kuwa Prettiest Man Alive 

Rapper Asap Rock ametajwa kuwa prettiest man alive na gazeti kubwa la GQ, Asap amekuwa aki-make headlines kutokana na mitindo yake mbalimbali ya mavazi. Ni moja ya rapper ambao anavaa chochote kitakacho mpendeza machoni kwake, kuanzia skirt, kupaka rangi kucha na kuvaa babushka.

katika interview hii na gazeti la GQ Asap ameongelea maswala mbalimbali ikiwepo kukaa kwake jela mwaka 2019, muziki pamoja na mahusiano yake na bad gal riri.

Kulikuwa na rumors kwamba ana date na Rihanna na wameonekana mara nyingi wakiwa pamoja kwenye dates, ASAP ameuhukakikishia ulimwengu kupitia interview yake kwamba ana date na Rihanna and she is the one,

Rocky, ambae jina lake kamili ni  #RakimAthelastonMayers, anapenda kumuita Rihanna “my lady” na “the love of my life.”

akiongea na GQ magazine Rocky amesema, “[Relationships are] so much better when you got the One.” He said, “She amounts to probably, like, a million of the other ones.”

Soma interview nzima hapa ASAP Rock

Related posts

1 Comment

  1. นักศึกษารับงาน

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/gq-wamataja-asap-rock-kuwa-prettiest-man-alive/ […]

Comments are closed.