Halima Aden mwanaitino kutoka Somalia ambae ame tembea katika runways mbali mbali ikiwepo ya Yeezy, Max Mara na Alberta Ferretti, Halima ametembea katika runways zote hizo akiwa amevaa hijab na ameonekana kushikiria swala lake la kuvaa hijab mpaka sasa ambapo amepata kuwa cover girl wa Vogue Arabia June 2017.
Katika picha zake zote katika hili gazeti Halima ameonekana kujifunika kila kitu kinacho onekana ni sura na mikono, hata shingo yake haionekani. Halima did well
In a behind-the-scenes clip from the magazine, the model spoke about the importance of broader representation in the world of fashion. “Every little girl deserves to see a role model that’s dressed like her, resembles her or even has the same characteristics as her,” says Aden. “I think beauty is for everyone and I think everyone can look beautiful, you just have to be confident.”
Publication: Vogue Arabia June 2017
Model: Halima Aden
Photographer: Greg Kadel
Fashion Editor: Paul Cavaco
Hair: Teddy Charles
Make Up: Hung Vanngo
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 74647 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/halima-aden-model-wa-kwanza-kuvaa-hijab-katika-cover-ya-vogue-arabia/ […]