SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HAPPINESS MAGESE AMPONGEZA WEMA SEPETU
Habari

HAPPINESS MAGESE AMPONGEZA WEMA SEPETU 

Ikiwa ime pita siku moja tu toka Wema azindue lipstick zake, mwanadada Happiness au Millen Magese miss Tanzania 2001 ambae  pia ni mwanamitindo mkubwa anae fanyia kazi zake nje ya nchi amempongeza mwanadada Wema Sepetu kwa kuanzisha mradi wake wa vipodozi (lipstick) hivyo vilivyo pewa jina la Kiss.

kiss by wema

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Millen Magesse amendika yafuatayo

We will all learn from you ……..and be proud one day ,  Because All that matters is how we get up and walk again not how we fall , How  we find  another way to reach where we wish to be and not  how we got  lost . Another day to be so proud of you lil sis. Your Empire is here to stay ….keep your heads up . Congratulations dear @wemasepetu I’m so proud of you and your new successful journey . May God guide you because there indeed more to come ….. #EndlessEmpire . #KissByWemaSepetuLaunch #SuperProud All the best dear #TheWorldIsEnoughForEveryone.

 

unnamed

Related posts

2 Comments

  1. BINANCE MINING

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magese-ampongeza-wema-sepetu/ […]

  2. click over here now

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magese-ampongeza-wema-sepetu/ […]

Leave a Reply