SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HAPPINESS MAGESSE APATA TUZO HUKO NIGERIA
Habari

HAPPINESS MAGESSE APATA TUZO HUKO NIGERIA 

Mwanamitindo mkubwa Hapiness Magesse kutoka hapa Tanzania, ambae kwa sasa yupo nje ya nchi akifanya maisha na kazi zake amekua akitumia sauti yake kuongelea juu ya ugonjwa uitwao endometriosis ambao una wapata wanawake wengi hasa wakiwa katika siku zao. Ni maumivu yaliyo pindukia ambayo yanaweza kusababisha msichana huyo kulazwa Hospital, akiwa kama mhanga wa tatizo hilo Happy amekua akitumia sauti yake kutaka kupata ufumbuzi juu ya jambo hili. Hili lime mfanya kujulikana sehemu mbali mbali na watu kuiona kazi yake ndio maana mnamo tarehe 22/12/2015 huko Nigeria alipata tuzo ya Humanitarian Award katika 2015 When Music Meets Runway iliyo fanyika Eko Hotel uko Lagos Nigeria.

jj mc

 

Related posts

7 Comments

 1. best substrate for golden teacher mushroom,

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magesse-apata-tuzo-huko-nigeria/ […]

 2. ufabet

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magesse-apata-tuzo-huko-nigeria/ […]

 3. Ufa191

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magesse-apata-tuzo-huko-nigeria/ […]

 4. boom bar chocolate where to buy

  … [Trackback]

  […] Here you will find 87211 additional Info on that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magesse-apata-tuzo-huko-nigeria/ […]

 5. Mushrooms golden teacher

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magesse-apata-tuzo-huko-nigeria/ […]

 6. goxapp

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magesse-apata-tuzo-huko-nigeria/ […]

 7. Producator ventilatoare

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/happiness-magesse-apata-tuzo-huko-nigeria/ […]

Leave a Reply