LUCKY BLUE
Lucky ni mwanamitindo kutoka America ambae ameanza kazi hii akiwa na umri wa miaka 10 na alipo fikia umri wa miaka 12 ali sainiwa na kampuni kubwa ya mitindo. Ukiachana na hilo Lucky ana tambulika zaidi na mitindo yake ya nywele ambapo mara nyingi huwa ni mvi flani hivi. kwa sasa ana miaka 17 na amesha fanya kazi na makumpuni makubwa kama Tom Ford.
EDDIE REDMAYNE
Ni Muigizaji lakini pia ni Mwanamitindo ambae ana tisha kwenye vivazi vyake iwe casual au hata katika suit.
DRAKE
Ni Rapper, Muimbaji, Producer na Muigizaji, Drake na kaa vizuri kwenye chochote iwe Tshirt na Jeans, Plovers au hata suit. pia Drake ni mpenzi wa style za nywele japo si sana ku notice maana ana penda short hair.
Nayvadius DeMun Wilburn ana julikana kama FUTURE
katika watu ambao hatukuwategeme ni Future, well GQ wana jicho la tatu kwa maana Future nae ni Stylish hasa kuanzia mitindo ya nywele zake ambazo ni rasta, madini, shades na mavazi pia.
Idrissa Akuna “Idris” Elba
Ni muigizaji, dj na muimbaji. Idris ana miaka 43 lakini ana lile umbo ambalo wasichana wana lipenda lol, yupo vizuri kwenye mavazi iwe airport style, casual au mitoko muhimu.
Odell Beckham Jr.
Mchezaji wa Football katika timu ya New York Giants of the National Football League na yeye ametajwa kama most stylish men 2016 kutokana na nywele zake, umbo na mzuzu.
Thomas Wesley Pentz A.K.A DIPLO
ni Dj, Song witter na huyu ni n American DJ, record producer, and songwriter yeye huwa hasafiri na nguo nyingi ila akifika anapo enda ndio hununua nguo nyingine tuna weza kusema katika kila nchi aliyo tembelea ana vazi lake.
Ryan Reynolds
Ni muigizaji na Producer kutoka Canada huwa hakosei hasa kwenye red carpet.
Russell Westbrook
Ni mcheza kikapu kutoka America ambae ana ichezea the Oklahoma City Thunder of the National Basketball Association ukiongelea stylish basi huyu kaka wame patia, anavaa chochote na ana pendeza ana penda leather pants lakini pia si kama wavulana wengine ana penda mashati ya rangi rangi.
Harry Styles
ni mwanamuziki ambae alikua anaimbia band ya one direction kwa sasa harry ina semekana ana toka na Kendall Jenner.
Justin Trudeau
ni waziri kuu wa Canada
Aziz Ansari
Muigizaji na Mchekeshaji kutoka Canada ambae haamini na kuwa na nguo nyingi
Tom Hardy
kama mpenzi wa movie utakua umemuona kwenye max furry movie ambayo imeshinda tuzo ya kuwa na uhalisia katika mavazi.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/hawa-ndio-gq-13-most-stylish-men-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/hawa-ndio-gq-13-most-stylish-men-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/hawa-ndio-gq-13-most-stylish-men-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/hawa-ndio-gq-13-most-stylish-men-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/hawa-ndio-gq-13-most-stylish-men-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 66784 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/hawa-ndio-gq-13-most-stylish-men-2016/ […]