Mtanzania Herieth Paul ambae ana fanya vizuri katika sekta ya mitindo ame iletea heshima Tanzania baada ya kushinda Tuzo ya Mwanamitindo wa Mwaka huko Nchini Canada, Herieth mwenye makazi yake huko ametwaa tuzo hio usiku wa kuamkia leo.

Herieth ametoa shukrani zake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika

heriethpaul So excited to be back home in Canada! Thank you @cafawards for the #modeloftheyear award!

12383659_1559536337709816_866484005_n
hongera Herieth katika umri wa miaka 20 na kupata Tuzo nchi za watu si kitu kidogo.