SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Herieth Paul Is Making Tanzania Proud
Habari

Herieth Paul Is Making Tanzania Proud 

Herieth Paul ni International Model kutoka Tanzania ambae anafanya vizuri sana kwa sasa, Herieth anaishi Canada sasa hivi ambapo ana tutangaza vizuri sana mwaka jana tuliongea mengi kuhusu yeye alifanya makubwa ikiwepo kutembea katika jukwaa la Victoria Secret lakini pia alisainiwa kuwa face of maybelline Cosmetics, Mwaka huu Herieth ameendelea kukua & she doesn’t show any sign to stop

Amekuwa featured kwenye magazeti makubwa mbalimbali ya fashion mwaka huu ataonekana katika Gazeti la Elle September Issue

View this post on Instagram

Lady in red 👠 #elleseptemberissue

A post shared by Herieth Paul🇹🇿 (@heriethpaul) on

Pia ata onekana katika gazeti la harpersbazaarus September issue

 

Na pia ataonekana katika gazeti la fashioncanada  September issue pia

 

Kama haitoshi Herieth ametangaza jana mwaka huu pia atapanda katika jukwaa la Victoria Secrets tuseme Asante Herieth kwa kututangaza lakini pia hongera sana ni mfano wa kuigwa

Related posts

Leave a Reply