SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HERRIETH PAUL APATA SHAVU KATIKA KAMPUNI YA MAYBELLINE
Habari

HERRIETH PAUL APATA SHAVU KATIKA KAMPUNI YA MAYBELLINE 

Mwanamitindo mTanzania Herrieth Paul anae fanyia kazi zake nje ya Nchi ambapo ana ipeperusha bendera ya Tanzania vizuri amechaguliwa kufanya kazi na kampuni ya vipodozi vya Maybelline kutoka ulaya.

christian-abouhaidar-beauty-products

Herrieth ambaye amesha fanya kazi na wabunifu wakubwa kama DVF, Tom Ford, Armani, na 3.1 Phillip Lim, Herrieth ameelezea furaha yake ya kufanya kazi na kampuni hiyo kwa kuandika yafuatayo katika ukurasa wake wa Instagram “This has been the hardest-kept secret of my entire life AND the highlight of my career. I am so honored & excited to announce that I am joining the Maybelline family!!!! I’m so grateful to be named a global spokesmodel for the world’s #1 cosmetics brand.”

herrieth poul

Herrieth ameungana na wanamitindo wakubwa kama Gigi Hadid, Adriana Lima, Emily DiDonato na wengine wengi wanao fanya kazi na kampuni hio.

herrieth

Hongera Herrieth. Go Tanzania

 

Related posts

2 Comments

  1. reference

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/herrieth-paul-apata-shavu-katika-kampuni-ya-maybelline/ […]

  2. how to join illuminati

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/herrieth-paul-apata-shavu-katika-kampuni-ya-maybelline/ […]

Leave a Reply