SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HUDDAH MONROE AJA NA HUDDAH WAIST TRAINERS
Habari

HUDDAH MONROE AJA NA HUDDAH WAIST TRAINERS 

Huddah Monroe (Huddah Njoroge) video vixen kutoka Kenya ambae amejipatia umaarufu wake kwa vingi ikiwemo kushiriki katika jumba la Big Brother Africa.

Huddah Monroe

Huddah ana mwili fulani hivi mzuri ambapo watu wengi wame kuwa wakiulizia kuhusu afanyacho mpaka ana kuwa hivyo, sasa ame amua kuwapa kile ambacho kina sabisha awe na tumbo dogo amekuja na waist Trainers alizo zipa jina la Huddah Waist Trainers, ambazo zinapatikana Tanzania na Kenya kwa sasa bado hazija onekana lakini kupitia mtandao wake wa Snap chat Huddah alitoa tangazo hilo

hudda2 huddah

Related posts

Leave a Reply