Female Rapper anayefanya vizuri kwa sasa na wimbo wake wa WAP Belcalis Marlenis Almánzar A.K.A Cardi B amekuwa featured katika Gazeti la Billboard Women Of The Year 2020 (Women In Music). Ambapo ameongelea mambo mengi ikiwepo muziki, kujihusisha kwake na politics lakini pia maisha yake binafsi.
Well unaweza kusoma hapa Billboard Women In Music, Sisi tunaangalia zaidi mavazi yake katika jarida hilo

Iris Van Herpen dress, Wing & Weft gloves, Keeyahri shoes

Miss Sohee dress and David Yurman earrings.

Schiaparelli dress and earrings.

Cardi B photographed on November 17, 2020 at Quixote Studios in Los Angeles. Styling by Kollin Carter. Hair by Kellon Deryck. Makeup by Priscilla Ono.

Well we couldn’t choose our favorite but let us know which one is your favorite?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/i-want-to-show-people-that-you-can-do-positive-things-but-you-can-also-be-yourself-cardi-b-for-billboard-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/i-want-to-show-people-that-you-can-do-positive-things-but-you-can-also-be-yourself-cardi-b-for-billboard-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/i-want-to-show-people-that-you-can-do-positive-things-but-you-can-also-be-yourself-cardi-b-for-billboard-magazine/ […]