SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

IDRIS ELBA, KATIKA UJIO MPYA WA MAXIM
Habari

IDRIS ELBA, KATIKA UJIO MPYA WA MAXIM 

206_0915_idris_sl3

Inawezekana uigizaji na uana mitindo ni kazi ambazo zina shahabiana, ndio maana ni rahisi kwa muigizaji kuwa mwanamitindo na mwanamitindo kua muigizaji.

Muigizaji ambae amewahi kuigiza kwenye filamu kama The Wire’s drug kingpin Stringer Bell to Nelson Mandela, na hivi karibuni ata onekana katika filamu iitwayo the villain of the Star Trek reboot, Bwana Idris Elba mwenye miaka 43 Ata lipamba gazeti La maxims litakalo toka mwanzoni mwa mwezi wa tisa.

Tumezoea kuona wanawake katika hili gazeti kwa muda mrefu sasa, lakini kwa hii miezi michache Hili gazeti lilikua likifanyiwa marekebisho na mhariri mpya, Bibi Kate Lanphear (ambae hapo awali alikua akifanya kazi katik gazeti la The New York Times Style Magazine).

206_0915_idris_sl1

Idris Elba atakua mwanaume wa kwanza kupamba gazeti hili. “ina leta mantiki kumuweka mwanaume anaejua mitindo katika kurasa za gazeti” Bibi lanphear ameimbia Rancked.

“Kwa upande wangu (elba) ni mfano halisi wa Ujio mpya wa Maxim. Ameelezea “Elba hana muelekeo maalumu ana weza kukaa popote, ni mtata, wa kisasa lakini yupo chini ya dunia. Nilipata wakati mzuri wakati tupo kwenye shughuli zetu, nikajiuliza kuna kitu chochote ambacho huyu Bwana hawezi kufanya?” ameshinda tuzo, pia ni dj, amevunja record ya landspeed british ambayo haija wahi kuvunjwa toka mwaka 1928. Ni kama shujaa ambae anaishi na kupumua duniani.”amemalizia Lanphear.

206_0915_idris_sl2

Idris Elba amevalishwa na Calvin Klein Katika ukurasa wa mbele, Na Koti la Superdry, Sweta la Calvin Klein na Suruali kutoka kwa Giorgio Arman

Related posts

2 Comments

  1. molly drug definition,

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/idris-elba-katika-ujio-mpya-wa-maxim/ […]

  2. 티비위키

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/idris-elba-katika-ujio-mpya-wa-maxim/ […]

Leave a Reply