SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

India Imeshinda Miss World, Kenya Yaingia Top 5 Na Tanzania Tumeondoka Na Experience
Habari

India Imeshinda Miss World, Kenya Yaingia Top 5 Na Tanzania Tumeondoka Na Experience 

Mashindano ya Miss World yalikuwa yanaendelea huko Sanya, China na jana Miss World amepatikana ambapo ametoka Nchini India mwanadada Manushi Chhillar (2o) ambae anasomea udaktari amechukua taji na kuwa mrembo wa Dunia.

Wenzetu Kenya waliwakilishwa na mwanadMagline Jeruto, ambae amefanikiwa kufika Top 5 ya Miss World

Tanzania tuliwakilishwa na mwanadada Julitha Kabete, ambae hakufanikiwa kuingia kwenye top 40. Kizuri ni kwamba kila mwaka huwa tunarudi na experience kitu ambacho ni kizuri tunapata kujua huko kunatokeaga nini. Mwaka huu hatuwezi kumlaumu Miss maana ameteuliwa na kutangazwa siku mbili kabla ya Miss kuondoka kwenda Sanya, China kwenye mashindano.

Hakupata interviews wala kufanya kazi za kijamii ili jamii ipate kumjua japo wanasema heri nusu shari kuliko shari kamili sisi tunasema kama imeshindikana basi tupumzike na kujipanga upya.

Related posts

4 Comments

 1. ufabet365

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/india-imeshinda-miss-world-kenya-yaingia-top-5-na-tanzania-tumeondoka-na-experience/ […]

 2. hop over to this site

  … [Trackback]

  […] There you will find 77888 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/india-imeshinda-miss-world-kenya-yaingia-top-5-na-tanzania-tumeondoka-na-experience/ […]

 3. buy hacked preloaded debit cards​

  … [Trackback]

  […] Here you will find 54122 additional Info on that Topic: afroswagga.com/habari/india-imeshinda-miss-world-kenya-yaingia-top-5-na-tanzania-tumeondoka-na-experience/ […]

 4. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

  … [Trackback]

  […] Here you can find 49812 additional Information to that Topic: afroswagga.com/habari/india-imeshinda-miss-world-kenya-yaingia-top-5-na-tanzania-tumeondoka-na-experience/ […]

Leave a Reply