Janelle Monáe Robinson, ana julikana kama Janelle Monáe ni mwanamitindo, muigizaji lakini pia ni mwanamuziki. Janelle ni moja kati ya wasanii wa kike wasio na makuu lakini she always kills linapo kuja swala la mavazi. Janelle si mtu wa mchezo mchezo iwe red carpet kwenye stage ana perform au akiwa tu katika mizunguko yake ya kawaida na juzi tumemuona katika red carpet ya The 28th Annual Palm Springs Film Festival, ambapo alivalia gauni jeupe na nyeusi kutoka kwa mbunifu Jenny Packham na alipendeza mno we must say ni best red carpet dress
love how Janelle ame pull off hii gauni, na gold accessories za kichwani na hereni
ame beba JIMMY CHOO clutch ambayo ime endana rangi ya gauni na accessories zake
Hair stylist wake ni bomb kwa sababu ukiangalia hair style nyingi za Janelle ni nzuri na zina mpendeza mno
wasiliana nasi kupitia
Instagram afroswagga
Facebook afroswaggamag
Twitter afroswaggatz
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/janelle-monae-in-jenny-packham-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/janelle-monae-in-jenny-packham-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 84736 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/janelle-monae-in-jenny-packham-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/janelle-monae-in-jenny-packham-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/habari/janelle-monae-in-jenny-packham-dress/ […]