SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JE UREMBO SI MUHIMU KAMA MUZIKI
Habari

JE UREMBO SI MUHIMU KAMA MUZIKI 

So leo katika mizururo yetu ya hapa na pale tuka pitia page ya miss world time, ambapo kama kawaida lazima tupitie pale ambapo wa kwetu ame postiwa na kama bahati tukakuta Diana ame postiwa na caption ikajieleza hivi “ Miss World Tanzania Diana Luqumay” lakini kwanini upite kwenye page kama hio halafu husisome comments? Zilikuwa nyingi lakini hii ya Kadia Turnbull au @therealkadiakade ikashika macho,masikio na mawazo yetu Kadia ni moja kati ya washiriki walio shiriki Miss World mwaka jana na yeye ni Miss British Virgin Island, ambae anaonekana alikuwa team moja na Diana naameonekana kuumizwa na kitendo cha Diana kukosa taji la Miss World Africa kiasi cha kutoweza kuficha hisia zake na kuamua kwenda ku comment katika picha hio.
Maneno yake yalisomeka kama ifuatavyo ́”my miss world Africa @dianaflave BVI (British Virgin Island) loves you and stands by you blue team knows the truth and clearly the bloggers too,stay true to you hon.
Ambapo alikuwa ana maana “Miss World Africa wangu, @dianaflave, BVI (British Virgin Island) inakupenda na ina simama na wewe, blue team inajua ukweli na bila wasiwasi bloggers pia, kuwa mkweli hon.
Hii ime tupa hisia kuna kitu nyuma ya pazia kama mna kumbukumbu nzuri project ya Diana Masai dondosha wembe iliingia katika 24 bora ya kuweza kuchaguliwa kushinda beauty with purpose,
lakini ghafla mambo yaka badilika akapewa Mkenya ambae hata katika 24 bora hakuingia,
kama kawaida yetu wa-Tanzania hatuku weza kulinyamazia page ya miss world ili shambuliwa sana lakini ni kwa muda mfupi watu waka sahau, Diana alirudi na kusema ame hujumiwa lakini lilishia hapo hapo halikuendelea. Hii ime tufanya tujiulize kwanini hili lina fumbiwa macho? Kama tulipigania Tuzo ya Ali Kiba akarudi nyumbani, kama tulipigania pale binti wa kiKenya alipo sema Mlima Kilimanjaro upo Kenya mpaka aka omba msamaha kwanini la Diana haliwekewi mkazo? Je urembo hauna umuhimu? Kamati ya Miss Tanzania wapo kimya, hata kutuambia nini kinaendelea au kama kuna process zina fanyika napo hamna.
Je tume zoea kushindwa kiasi ambacho tuna shindwa kupigania ushindi wetu katika urembo? Tunaomba wadau wa urembo tuliangalie hili kwa jicho la pili, kwanini Diana apokonywe ushindi? Kwanini apewe mtu mwingine kwa vigezo vipi? Kwanini hawaku litolea maelezo? Tusiridhike na kwenda na kurudi mikono mitupu, hato pata Diana tu bali wa-Tanzania wote, Diana ana deserve Kuvuna alicho panda na hasa kama amepanda na kikaanza kuchepua na kutoa matunda mpaka pale alipo pokonywa matunda yake bila sababu maalumu ya kueleweka #justicefordiana

Related posts

6 Comments

 1. mm88

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/je-urembo-si-muhimu-kama-muziki/ […]

 2. burma mushroom potency

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/je-urembo-si-muhimu-kama-muziki/ […]

 3. Ufa191 บาคาร่า

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/je-urembo-si-muhimu-kama-muziki/ […]

 4. Golden Teachers Mushroom

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/je-urembo-si-muhimu-kama-muziki/ […]

 5. รับทำบัญชี

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/je-urembo-si-muhimu-kama-muziki/ […]

 6. find this

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/habari/je-urembo-si-muhimu-kama-muziki/ […]

Leave a Reply