SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jeremy Meeks – Being Bad Isn’t Bad After All (NYFW HIGHLIGHTS)
Habari

Jeremy Meeks – Being Bad Isn’t Bad After All (NYFW HIGHLIGHTS) 

Jeremy Meeks alikuwa talk of social networks mwaka 2014 ambapo mug shot yake iliwekwa mitandaoni akiwa charged na kosa la  weapons charges (ni matumizi ya silaha kitu kama icho), Wasichana wengi walikuwa waki mpost au ku comment comments za kumpenda kila picha hio ina postiwa as the guy is hot na akawa ana julikana kama Hot Felon” and $FelonBae.

Jeremy alisaini mkataba wa kuwa model akiwa jail na alipo toka march 2016 alianza kazi moja kwa moja, na kwa sasa Jeremy ameonekana katika jukwaa la New York Fashion Week akiwa ana model mavazi kutoka kwa mbunifu  Philipp Plein.

 

Jeremy alivaa al black katika fashion show hio na as usual he looked hot, Jeremy ali promise kuwa mtu mzuri akitoka jail kufanya kazi yake ya u-model kwa bidii na kutunza Familia yake (yah familia yake ame oa sorry ladies he is taken), our hopes ni aendelee kuwa hivyo ili kuwapa motisha wale wengine kwamba unaweza kuwa mtu mzuri na ukafanikiwa ki maisha sometimes you have to bad to be recognized (not too bad though)

Wasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – Afroswaggamag

Twittwe – afroswaggatz

Related posts

4 Comments

 1. พนันบอลออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/jeremy-meeks-being-bad-isnt-bad-after-all-nyfw-highlights/ […]

 2. Buy DMT Vape Pen Melbourne

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/jeremy-meeks-being-bad-isnt-bad-after-all-nyfw-highlights/ […]

 3. What Day Is The Vatican Museum Closed

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/jeremy-meeks-being-bad-isnt-bad-after-all-nyfw-highlights/ […]

 4. used 4 stroke outboard motor for sale near me

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/jeremy-meeks-being-bad-isnt-bad-after-all-nyfw-highlights/ […]

Leave a Reply