SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JULIA ROBERTS ATAJWA KUWA MWANAMKE MZURI ZAIDI 2017 NA PEOPLE’S MAGAZINE
Habari

JULIA ROBERTS ATAJWA KUWA MWANAMKE MZURI ZAIDI 2017 NA PEOPLE’S MAGAZINE 

Muigizaji na Producer Julia Roberts (49) ametajwa kuwa mwanamke mzuri zaidi wa mwaka 2017 hii si mara ya kwanza kwa Julia Roberts kutajwa na gazeti hilo la the People’s, Hii ni mara ya tano kwa mwanamama huyu mwenye watoto watatu (wawili twins) ku own tittle hii. Mara ya kwanza aliipata kwanza mwaka 991 halafu mwaka 2000, 2005 na  2010 na sasa mwaka 2017

Well ikiwa mwenyewe ame furahia sana wananchi wanaonekana kuto kuwa na furaha na yeye kuchaguliwa tena kwa miaka mitano wengi waki claim ni mwaka 1991 na wengine wana sema its about time watu weusi wapewe tittle hio japo wapo tayari ambao walisha tajwa kuwa wanawake wazuri na sio weupe kama Lupita Nyong’o in 2014, Beyoncé in 2012, Jennifer Lopez in 2011 na  Halle Berry in 2003.

Baadhi ya meme zilizopo Twitter kuhusu Julia Roberts,

Mates nini maoni yenu? hivi wnawake wazuri wako huko tu duniani huku Africa Hamna?

Tupe maoni yako kupitia mitandao yetu ya kijamii au email us kupitia afroswagga69@gmail.com

Related posts

1 Comment

  1. Buy DMT online Perth

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/julia-roberts-atajwa-kuwa-mwanamke-mzuri-zaidi-2017-na-peoples-magazine/ […]

Leave a Reply