Vice President – Elect wa U.S.A, Kamala Harris ametokea kwenye Vogue Cover ya February kama Cover star wao. Ikiwa tumezoea kuona powerful looks kutoka kwenye issues za Vogue kwa Kamala imeonekana kuwa tofauti kidogo ambapo alionekana akiwa amevalia casual outfit, black jacket na matching trouser huku akiwa na white t-shirt ndani na black & white converse.

Lakini US Vogue editor-in-chief Anna Wintour alichukua muda wake kuelewesha Umma kuhusu cover hii ambapo alisema “the image was chosen to reflect the pandemic and the vice-president-elect’s “approachable and real” nature.
“When the two images arrived at Vogue, all of us felt very, very strongly that the less formal portrait of the vice-president-elect really reflected the moment that we were living in, which we are in the midst — as we still are — of the most appalling pandemic that is taking lives by the minute.
“And we felt to reflect this tragic moment in global history, a much less formal picture — something that was very, very accessible, and approachable and real — really reflected the hallmark of the Biden-Harris campaign and everything that they are trying to and, I’m sure, will achieve.
Well hii cover ilikuwa ya printed cover wakati ya digital Kamala alionekana kwenye hii blue suit ambayo ni nzuri zaidi kuliko ya printed.

Afromates does Anna Wintour has a point or they could have done it better regardless.
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…