Kampeni hii ambayo imeanzishwa hivi karibuni inayo itwa Swim Suit For All ni kampeni ambayo ina hamasisha watu wa rika zote na uzito wowote kuvaa mavazi ya kuogelea/ufukweni bila kujisikia vibaya, imezoeleka wanao vaa mavazi ya ufukweni ni vijana na wale wembamba ambao wana semekana ndio huonekana sexy wakivaa, lakini kampeni hii inaonyesha ni jinsi gani wote tunaweza kuvaa na tukaonekana sexy.
“People think you lose your sex appeal as you get older — but that’s a myth; I’ve never felt sexier. I have two daughters and I’m so proud they get to see me looking sexy and confident in a bathing suit.”
“As a woman of color and curve model, I never imagined when I started modeling that I would be featured in the pages of Sports Illustrated. The #SwimSexy campaign is redefining standards of beauty and I’m proud to be a part of it. My hope is that this campaign connects with women and girls of all ages, body types, races, and backgrounds.”
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/habari/kampeni-ya-mavazi-ya-ufukweni-kwa-wote/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/kampeni-ya-mavazi-ya-ufukweni-kwa-wote/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 97825 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/kampeni-ya-mavazi-ya-ufukweni-kwa-wote/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/kampeni-ya-mavazi-ya-ufukweni-kwa-wote/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/kampeni-ya-mavazi-ya-ufukweni-kwa-wote/ […]