SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KARRUECHE TRAN AUNZA MWAKA NA HII
Habari

KARRUECHE TRAN AUNZA MWAKA NA HII 

Karrueche Tranni mwanamitindo pia ni muigizaji kutoka marekani ambae alijizolea baada ya kutoka kimapenzi na Chriss brown ambae kwa sasa wameachana.

kaepop-karrueche-tran-colorpop-2

Karruache Tran ameanza mwaka wake na biashara baada ya kutoa vipodozi vipya kutoka kwake viitwavyo KaePop, Vipodozi hivi vitakuja pamoja na blush, a contour bronzer, highlighter, matte lip pencils, and lipsticks ambavyo vitauzwa chini ya $8 ambayo ni sawa na Tzs 17,600 kiasi hiki kimelenga wote wenye nazo na wasio nazo.

kaepop-karrueche-tran-colorpop-1

karrueche ameiambia ELLE.com, “The shades look great on any skin color and appeal to more than just a certain group of women. The colors that I chose are everyday, natural tones.”

Vipodozi hivi vinatoka leo

Related posts

2 Comments

  1. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/karrueche-tran-aunza-mwaka-na-hii/ […]

  2. aliens live among us

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/karrueche-tran-aunza-mwaka-na-hii/ […]

Leave a Reply