Kelly Rowland mwanamuziki alienzia katika kundi la destiny child ambapo baada ya kutengena Kelly ameendelea na muziki wake peke yake mpaka sasa, ukiachana na muziki Kelly pia ni muigizaji na Tv personality hizo ni sababu tosha za kumjua Kelly na kumfuatilia katika mambo mbali mbali ikiwepo mitindo,
Katika mahojiano yake na Essence Kelly amesema ana fanyia kazi kuzindua make up line yake ambayo itakua kwa ajili ya watu wote lakini pia bila kuwasahau wakina dada weusi
Kelly alisema “My makeup artist Sheika Daley and I are actually starting a makeup line we’re making sure we make, well, we’re starting off with lashes and then we’re going to have it grow for all women,” Rowland told Essence. “But definitely making sure we have our chocolate girls covered. Gotta get the chocolate girls in there! We have to have that, you know. I think Iman has done a beautiful makeup line and I want to do it too!”
wakina dada wenye rangi ya chocolate ndio wakati wetu huu, Kelly haja taja jina la make up line yake, tarehe atakayo izundua lakini tutaendelea kukujuza zaidi.
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/kelly-rowland-ana-aja-na-makeup-line-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/kelly-rowland-ana-aja-na-makeup-line-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/habari/kelly-rowland-ana-aja-na-makeup-line-yake/ […]