The Kardashian ndio family inayo ongoza kwa kufanya surgery kuanzia mama, baba hadi watoto. Wawili ambao kila mtu alikua ana hope nao kwamba wame jikubali ni Robert na Kendall ambae nae jana kazua mjadala mitandaoni kwamba ame fanya lips – injection kama mdogo wake Kyle.
Kendall ambae ali kaa kimya kwa week moja katika mitandao ya kijamii ame rudi akiwa na muonekano tofauti wa lips, hii ikazua zogo kwamba kaji ongeza midomo lakini sasa mdogo mtu Kylie ana sema yeye ndo ame mpodoa dada yake na kumfanya aonekane na lips kubwa, same reason aliitumia yeye alipo jitengeneza.
Kylie aliandika “”You guys, Kendall let me overline her lip today with lipliner and everyone thinks she got lip injections,” katika mtandao wa snap chat… Je ni kweli ni kipodozi au injection
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…