Mwanamitindo Kendall Jenner ambae hivi karibuni picha zake na mwanamuziki wa kiume Harry Style zili leak wakioneka kuwa kimapenzi
taarifa nyingine zimekuja zikiSema Kendall ni msagaji na yupo katika hatua ya kuongea na watu wake wa karibu akiweMo rafiki yake ambae pia ni mwanamitindo Cara Delevingne kuhusu kukubaliana na hali hio.
Repoti kutoka gazeti la America’s OK!lime andika taarifa ambayo ina semekana ni maneno kutoka kwa rafiki wa karibu wa Kendall Kwamba Kendall ni msagaji
“Kendall is a lesbian. She’s only just started talking about it with her inner circle.
“She reassured Kendall that the stigma of being gay is gone and encouraged her to allow herself the freedom to be who she really is.”
They added her feelings have “only gotten deeper” and “Kendall is captivated by Cara.”
Japo usiku wa mwaka mpya Kendall aliandika maneno haya ili watu waache kumfikiria vibaya
“I’m not big on New Year’s resolutions. I don’t write a list down or anything, it’s definitely more of an in-my-head kind of thing.
“I set random goals like ‘find a boyfriend’ but it’s not legit at all, lol.”
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…