SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KIM KARDASHIAN MATCHING DRESSES NA NORTH WEST
Habari

KIM KARDASHIAN MATCHING DRESSES NA NORTH WEST 

Nani ambae hapendi kuvaa sawa na mwanae? hamna ni kitu ambacho kina bond mama na mtoto kwa namna moja au nyingine. Hii style ya ku match mama na mtoto imeanza zamani japo kwa sasa ndio inaonekana ina shika kasi kutokana na watu maarufu kuifanya pia, tumesha waona watu kama Beyonce, Kelly Rowland na wengine wengi.

Usiku wa kuamkia leo Kim Kardashian na mwanae Northwest walionekana ku match outfits wakiwa wana enda kwenye concert ya Kanye west

Kim na North walikua spotted in silver sequin dresses, ambapo Kim alivaa Gauni hio ya ming’aro na clear heels, wakati noth alivalishwa gauni hio na sneakers

37F3E3A200000578-3775365-image-a-24_1473128783432 37F3E41B00000578-3775365-image-a-26_1473128793472

Magauni yao kwa nyuma yana fanana pia

37F3E61200000578-3775365-image-a-23_1473128333991

Kim alionekana kubana nyuma nywele zake wakati North walimuachia  curly hair zake she looks adorable 37F3EBEC00000578-0-image-a-21_1473127818690

kabla ya kuonekana katika mtoko huu Kim ali share tip kwenye website yake kuhusu jinsi anavyo zijali nywele zake katika kipindi cha baridi aliandika “Keeping your hair shiny and soft in the winter can be difficult! I only shampoo it twice a week to prevent it from drying out. I also love using hydrating at-home hair masks.’

37F3ED6C00000578-3775365-image-a-27_1473128798502

Kim na Her Min- her

Related posts