Kama una mfuatilia rapper Kanye West utakua unajua mpango wake wa kugombea uraisi mwaka 2020, kama atashinda au atagombea kweli uraisi na akashinda basi mwanadada Kim Kardashian West atakuwa first lady wa Us, wengine wangependa kuona Kim na Kanye watafanya vitu gani white house lakini sisi tungependa kuona namna ambavyo Kim Kardashian angevaa mavazi yake seems like sio peke yetu tuliokuwa na mawazo hayo, Gazeti la Interview limeamua kufanya Interview na Kim Kardashian huku wakimvalisha kama first lady wakiwa wame mchannel first lady Jackie Kennedy Onassis.
Na hizi ndizo picha zilizopo
Katika gazeti hilo Kim K amevaa vintage-cut dresses & skirt suits, and — of course! — pearls and white gloves.
Kim Kardashian ameongea vingi ikiwepo yeye/wao kuwa underestimated kwa kuambiwa hawana vipaji-“I used to say, ‘I love being underestimated.’ But now when I hear, ‘They’re so not talented,’ — ten years into it — I’m kind of like, ‘Okay, give a girl a little respect.’ If I’m so not talented, if I do nothing, then how is my career my reality?” Kardashian asked.
poke fun at it, like when I was on the cover of Forbes I posted the hashtag #NotBadForAGirlWithNoTalent,” she said. “I don’t mind being underestimated because it does fuel me. But after a while, I do feel like, ‘C’mon, you can recognize a little bit.'”
Kim Kardashiana amefanya Interview hii na photo shoot akiwa na mwanae North West, All That Kim’s want is a respect on her name.
Unaweza kusoma hapa interview nzima
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/kim-kardashian-posing-as-first-lady-in-interview-magazine-cover/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/kim-kardashian-posing-as-first-lady-in-interview-magazine-cover/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/kim-kardashian-posing-as-first-lady-in-interview-magazine-cover/ […]