SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kizungumkuti Kuhusu Miss Tanzania
Habari

Kizungumkuti Kuhusu Miss Tanzania 

Jana taarifa ilitoka kutoka kwa Miss Tanzania Organization kwamba aliyekuwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere hatoweza kwenda kushiriki mashindano ya dunia ya urembo kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa hii ilishtua wengi na wengine kuhoji Utovu huu wa nidhamu ni upi?

Cha kushangaza zaidi ni baada ya Rosey kutoa taarifa kwamba yeye hakupewa hizo taarifa na kwamba hakuwa na taarifa za yeye kutokuwa muwakilishi wa Taifa hiyo December huko Nchini Puerto Rico.

Kama haitoshi Basata walipotafutwa na kuulizwa kuhusu ukweli wa hili swala nao hawakuwa na taarifa nayo ambapo Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Matiko Mniko amesema “kuna barua tumepokea kutuomba turidhie hayo maamuzi, sababu hatukua na taarifa hiyo na maamuzi hayo hayajaridhiwa na Baraza tumewaita pande zote mbili tuwasikilize kesho saa nne asubuhi na baada ya hapo tutatoa tamko kama Serikali”

Wakati tunasubiria kujua ni nani atatuwakilisha December swali ni kwanini hii habari itolewe kiholela bila kushirikisha baraza wala muhusika mwenyewe?

Related posts

4 Comments

  1. แทงบอล

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/kizungumkuti-kuhusu-miss-tanzania/ […]

  2. useful reference

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/kizungumkuti-kuhusu-miss-tanzania/ […]

  3. empresa serviços informática

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/kizungumkuti-kuhusu-miss-tanzania/ […]

  4. buy ephedrine

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/kizungumkuti-kuhusu-miss-tanzania/ […]

Comments are closed.