SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KODI KUONDOA MATUMAINI YA WABUNIFU LONDON
Habari

KODI KUONDOA MATUMAINI YA WABUNIFU LONDON 

Ndani ya kipindi kisichozidi miaka miwili kampuni ya The Trampery ilifunguliwa rasmi huko nchini Uingereza katika jiji la  London, Ikiwa inaendelea kukusanya nguvu na kulitendea haki soko la mitindo kampuni inalazimika kufungwa kwa sababu ya ongezeko la kodi. 

trampery

Wabunifu kama Jonathan Saunders, Holly Fulton and James Long wanahitaji msaada kwani na wao ni moja wa wahanga wa jambo hilo.

Kampuni hii ime jipatia jina kutokana na kusaidia makampuni ya wabunifu wa changa katika jamii, kampuni hii ilikua ikiwasaidiana sana  wabunifu  binafsi ambao wana biashara ndogo au za saizi ya kati kupata sehemu na mafunzo ya namna ya kufanya biashara/ kazi zao.

morley-hall-the-trampery-london-Fields-16-9

“The Trampery ni sehemu nzuri kwa kuanzia kumkuza mbunifu wa mitindo katika biashara” amesema Bi Caroline Rush mkurugenzi Mtendaji wa The British Fashion Council. “ni sehemu ya studio ambayo mnaweza kushirikiana vifaa na ni mtandao ambao umetengenezwa  kukuza wabunifu katika biashara. Wafanya biashara wengi kwa sasa wana tegemea kituo cha The Trampery katika sehemu ya London Fashion Week. Ni muhimu kwetu na katika kituo hiki tuna jisikia tupo nyumbani.

The-Trampery-London-Fields-2-vogue-4aug15-joshua-tucker-b  fashion-studio-the-trampery-london-Fields

Ili kufanya mradi uendelee , waandaji wa mradi huu wame kata rufaa ya muda mfupi ili watu waweze kupata ufahamu na kusaidia juhudi zao.

 

Related posts

4 Comments

 1. Psilocybin Mushroom online

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/habari/kodi-kuondoa-matumaini-ya-wabunifu-london/ […]

 2. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/kodi-kuondoa-matumaini-ya-wabunifu-london/ […]

 3. site web

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/kodi-kuondoa-matumaini-ya-wabunifu-london/ […]

 4. go here

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/kodi-kuondoa-matumaini-ya-wabunifu-london/ […]

Leave a Reply