Kendall (19) na Kylie (18) wote ni wasichana kutoka familia moja, na wote wapo katika ulimwengu wa Mitindo ampapo kendall ni mwanamitindo ambae ameonekana katika majukwa mbalimbali ya bidhaa maarufu kama givenchy, yeezy, vogue na mengine mengi
huku kylie yeye ni mfanya biashara (anauza nywele pia ana application inayo husiana na maisha yake na mitindo kiujumla)
vyote hivyo vina wapatia fedha na pia kuwafanya wajulikane mara mbili ya ambavyo walikua wakijulikana awali. TIME MAGAZINE wame wataja kuwa hawa ndio vijana wenye ushawishi mkubwa duniani kutokana na kipato chao na kuwa na mashabiki wengi walio wa fuata katika mitandao ya kijamii.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 5181 additional Information to that Topic: afroswagga.com/habari/kylie-na-kendall-ni-vijana-wenye-ushawishi-mkubwa/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/kylie-na-kendall-ni-vijana-wenye-ushawishi-mkubwa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/kylie-na-kendall-ni-vijana-wenye-ushawishi-mkubwa/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/kylie-na-kendall-ni-vijana-wenye-ushawishi-mkubwa/ […]