SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KYLYIE JENNER ABADILISHA JINA LA BIDHAA ZAKE
Habari

KYLYIE JENNER ABADILISHA JINA LA BIDHAA ZAKE 

Kylie Jenner (20), mjasiriamali pia ni mwanamitindo ambae awali alitoa Lip stick zilizo itwa “Kylie Lipkit” kwa sasa amebadilisha jina hilo na kuita “Kylie Cosmetics”. Hii imetokana na kuanza kutengeneza rangi za kucha (nail polish) ambapo jina la “Kylie Lipkit” lingekua lina husisha lipstick tupu.

Kylie-Jenner-Adds-a-Nail-Polish-Collection-to-Her-Beauty-Brand11-530x528

Rangi hizo za kucha (bidhaa mpya kutoka kwa Kylie) zitaanza kuwa mtaani kuanzia march mwaka huu, ambapo rangi zaidi ya 20 zitatolewa na zitauzwa kuanzia $2.99 ambapo ni sawa na Tzs 6578.

Kylie-Jenner-Adds-a-Nail-Polish-Collection-to-Her-Beauty-Brand2-530x534

Collection ya mwanzo kutoka imepewa jina la King Kylie Collection.

Related posts

2 Comments

  1. click here for more info

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/habari/kylyie-jenner-abadilisha-jina-la-bidhaa-zake/ […]

  2. useful content

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/kylyie-jenner-abadilisha-jina-la-bidhaa-zake/ […]

Leave a Reply