Mapema Leo jumatano saa 4 asubuhi PALE Danken House Mikocheni kulikua na kikao kilicho husisha waandishi wa habari juu ya Lady In Red Fashion Show, Lady In Red event hufanyika kila mwaka na mwaka huu itafanyika tarehe 31 katika ukumbi wa Danken House uliopo mikocheni.
Onyesho hili limeandaliwa na Bi Asya Khamis pamoja na Fabak Fashions
Wa pili kushoto Ni Wancy Machozi, Asya Khamis pamoja na Martin Kadinda
LADY IN RED 2016
SUN . 31 JAN . 2016 AT DANKEN HOUSE – MIKOCHENI
DRESS CODE : RED & WHITE
FROM 8PM TO MIDNIGHT
FRONT ROW TSHS 30,000
NORMAL SEATS TSHS 10,000
TICKET ZINAPATIKANA FABAK FASHIONS MIKOCHENI
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/lady-in-red-2016/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 25739 additional Info on that Topic: afroswagga.com/habari/lady-in-red-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/lady-in-red-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/lady-in-red-2016/ […]