Miss Tanzania 2015 Lilian Kamazima ameanza maandalizi yake ya kujiandaa kuelekea Sanya nchini China kwa ajili ya shindano la Miss World.Lilian akiwa ni miongoni mwa wasichana 120 ataiwakilisha Tanzania katika shindano hilo, Lilian ameonekana akiwa na watu mbali mbali ambao wana husiana na mitindo akiwemo kiki fashion pia miss Tanzania mwaka jana Hapiness Watimanywa akipewa ushauri au njia za kumfanikisha kushinda katika shindano hilo.
Lilian akipewa mawili matatu na alie kuwa Miss Tanzania 2014 Hapiness
Ratiba yenyewe iko hivi, mrembo wetu Lilian pamoja na warembo wengine wote watapokelewa China November 21 2015 kwenye moja ya Hoteli kubwa iliyopo Sanya na kambi yao itakuwa hapo kwa muda wote mpaka siku ya fainali December 19 2015.
Lilian akiwa na Kiki
Kingine tunachotakiwa kukifanya ni kumpa support ya nguvu mrembo wetu Lilian Kamazima kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ambapo hiyo njia pia itamfanya asogee kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuibuka na ushindi wa Miss World 2015.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…