Ni mwaka wa kumi na moja sasa tangu Pantone waanze kutaja rangi za mwaka, kila mwisho wa mwaka kampuni hii kubwa duaniani inayodeal na global color trends yaani imejikita katika utafiti wa rangi katika tasnia ya fashion hutoa rangi ambayo ndio huitwa rangi ya mwaka. Kampuni hii hutoa pia ushauri wa matumizi ya rangi, maana zake, saikolojia zake kwa wavaaji wa nguo za rangi Fulani na ubunifu na uchanganyaji wa rangi kwa makampuni na designers ndani ya tasnia ya urembo na fashion.
Mwaka huu Pantone wametaja rangi hii ya orange peach color kama ndio rangi ya mwaka 2019 inaitwa Living Coral, Kwa mujibu wa Pantone rangi hii inamaanisha playfulness, nishati, na hali ya kuunganisha na vitu vya asili. Laurie Pressman, mwenyekiti wa rais wa kitengo cha ushauri wa rangi ya Pantone, anasema kwa Quartz. ““Top of mind was the arresting beauty we see in nature and the importance of preserving the environment…Think of coral reefs, they provide shelter and sustenance to marine life and here we are watching them disappear.”
ULTRA VIOLET 18-3838 YATAJWA KUWA RANGI YA MWAKA 2018
“It’s a reflection of what’s taking place. It’s a color snapshot symbolic of what’s taking place in the culture at a moment in time,” she says. Pressman notes that the peachy shade appeared in fashion runways, furniture, home interiors, corporate branding, websites and even tech gadgets in 2018.
Tumeona baadhi ya watu maarufu wakiwa kwenye hii rangi kama Rihanna, Jessica Alba na Camilla Belle
lakini pia unaweza kutitumia kama kipodozi lipstick. rangi ya kucha, hair color etc.
pia unaweza kuivaa kama accessories
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/habari/living-coral-yatajwa-na-pantone-kuwa-ndio-rangi-ya-mwaka-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/habari/living-coral-yatajwa-na-pantone-kuwa-ndio-rangi-ya-mwaka-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/living-coral-yatajwa-na-pantone-kuwa-ndio-rangi-ya-mwaka-2019/ […]