SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

LORRAINE MARRIOT ANAWEZA KURUDISHA USHINDI TANZANIA
Habari

LORRAINE MARRIOT ANAWEZA KURUDISHA USHINDI TANZANIA 

Lorraine Marriot (20) Miss Universe Tanzania ambae kwa sasa yupo Las Vegas kutuwakilisha katika Miss Universe 2015 duniani kote. Lorraine anaonekana kufanya vizuri kiasi cha kusifiwa na waandaji wa shindano hilo.

Katika Account ya #MissUniverseCovarage huko Instagram waandaji hao waliandika > TANZANIA! This beauty has not stopped from impressing me since her arrival. I did not really pay attention to her before to be honnest but now I can’t help but thinking she might surprise us all in the final night! Go for it beauty!<

Kila kitu kinawezekana endapo tu tutamsupport mshiriki wetu, ukiachana na hayo waandaji wa Miss Universe Tanzania wame jitaidi kumuandaa mshiriki wetu katika kila kitu hasa mavazi.

Ili kumsuport Lorraine na kumsaidia kushinda tembelea Account za miss universe na like na ku comment katika picha zake zilizo postiwa Asante.

Mionekano Mbali mbali ya lorraine akiwa Las Vegas kwenye mashindano hayo:

 

d60f5f7e-1256-4ba0-9620-43a0de3375c7

a40b4cb1-4f98-4eb5-92cc-32fbb4d7ef3b 98a18b88-bbce-457d-a991-99bdc94c2b87

8d4e7eb6-af62-4048-9a80-2828fedbe5dd

71cd9a16-30cd-4cec-97c6-619a37012a93

 

Related posts

Leave a Reply