Lupita Nyong’o ni cover girl wa gazeti la Vogue mwezi huu, picha zime pigwa Nchini kwao alipo tokea Kenya katika kijiji cha Luo land ambapo Lupita ndipo alipo kulia. Katika gazeti hili ame ongelea mengi ikiwemo familia, jinsi alivyo pata shida mpaka kufikia katika uigizaji na mengine mengi, lakini pia ame ongelea kuhusu issue kubwa ya ubaguzi wa rangi inayo endelea kwa sasa Lupita alisema “I cannot run away from who I am and my complexion or the larger society and how they may view that.”
hizi ni picha ambazo nina patikana katika gazeti hilo, Lupita couldn’t get as real as this, amevaa bold printed nguo lakini pia she looks so African tofauti na cover nyingi za magazeti aliyo yafanya
Lupita akicheza ngoma
Akicheza bao na wadogo zake
Lupita na bibi
Lupita akiwa shuleni ni vitu muhimu alivyo vionyesha shule, michezo, nature, usafiri na asili yetu wa Africa
Bodaboda ndio usafiri mkubwa sana kwa sasa Africa
Pia Lupita amejifunza kusonga ugali kwa mara ya kwanza una weza kuangalia hapo chini
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…