SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAHOJIANO NA MGOMBELWA BRAND
Ana Kwa Ana

MAHOJIANO NA MGOMBELWA BRAND 

Mgombelwa ni mbunifu wa kiume kutoka morogoro, lakini pia ana fanya kazi zake Dar Es Salaam, tumepata nafasi ya kufanya mahojiano nae na alikua na haya machache ya kusema,

Afroswagga: Kwanini ubunifu wa nguo?

Mgombelwa: Ubunifu upo kwasababu tofauti’. watu wengi wanapenda kua  na muonekano tofauti katika mavazi na pia kitu kinachomfanya mtu awe  na mwonekano wakuvutia

MGOMBELWA4

Afroswagga: Kitu gani kinakuvutia zaidi katika ubunifu wa nguo?

Mgombelwa: mitindo tofauti inayofanywa na pia muonekano mzuri na tofauti pindi watu wanapokua wamevaa

Afroswagga: Je ubunifu wako ni wanaume tu au na wanawake pia?

Mgombelwa: mimi nimejikita zaidi kwenye nguo za kiume ila wanawake sio sana

MGOMBELWA

Afroswagga: Nani alifanya upende kuwa mbunifu?

Mgombelwa: Hakuna ila mimi mwenyewe nilikua napenda kufanya  vitu ambavyo nivyakipekee hivyo nikajikuta najitahidi kua mbunifu.

Afroswagga: Kama sio kuwa  m’bunifu je ungekua nani?

Mgombelwa: Mchoraji

MGOMBELWA3

Afroswagga: Je upo tofauti na wabunifu wengine? Tofauti yako na yao ni IPI?

Mgombelwa Ndio.
Katika mitindo tofauti nnayo ifanya na ubunifu wa kipekee

Afroswagga: Unajiona wapi ndani ya miaka kadhaa ijayo?

Mgombelwa: Ntakua katika nafasi nzuri zaidi hata ile alioko sheria ngoi.

MGOMBELWA2

Afroswagga: Unawaambia nini wabunifu wenzio na watanzania kwa ujumla?

Mgombelwa: Tuwe na ushirikiano kwa wabunifu wote tuache ubinafsi bila kujali nafasi ya kila mbunifu alioko..kwakua wabunifu wengi wakubwa wamekosa ushirikiano na sisi ambao tuko chini’pia kutudidimiza kwa ajili ya masilahi binafsi.Nawatanzania tupende kazi za nyumbani na kusapoti kazi za ndani ya nchi yetu.TUWE WAZALENDO..
(ASANTENI)

Related posts

6 Comments

 1. Plantation Shutters

  … [Trackback]

  […] There you will find 69774 additional Information on that Topic: afroswagga.com/habari/mahojiano-na-mgombelwa-brand/ […]

 2. ecstasy drug.com,

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/mahojiano-na-mgombelwa-brand/ […]

 3. ufatesla

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/mahojiano-na-mgombelwa-brand/ […]

 4. David T Bolno NKSFB

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/mahojiano-na-mgombelwa-brand/ […]

 5. Dave Bolno NKSFB

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/mahojiano-na-mgombelwa-brand/ […]

 6. 토렌트 다운

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/mahojiano-na-mgombelwa-brand/ […]

Leave a Reply