fashion Police ni kipindi ambacho kina muhamko mkubwa wa mitindo na kinacho pendwa zaidi duniani, Watangazaji wa hiki kipindi hawaachi kukukosoa ukikosea na kukusifia ukipatia. Bibi Joan River (marehemu) hakua akimuacha mtu akikosea hata kama una jina kubwa katika tasnia fulani.Pia kuna watangazaji wengine kama Giuliana Rancic, Kelly Osbourne na George Kotsiopoulos
Mara baada ya Joan River kufariki aliwekwa Kathy Griffin kama mbadala wa Joan River, lakini kwa bahati mbaya na mitafaruku ya hapa na pale mbadala wa Joan Rivers yaani Kathy Griffin nae aliacha kazi.
Imepita miezi sita sasa tangu bi dada Kelly Osbourne nae kuachia ngazi lakini ametoa tamko ana weza akarudi kama tu yatatokea mabadiliko yaani kama Giuliana Rancic hatokuwepo kwenye kipindi.
Kelly Osbourne
Kipindi kimekua kikipoteza mvuto baada ya Kelly Osbourne kuondoka na sababu ya eye kuondoka ni baada ya Guliana kumuongelea vibaya Disney Channel star Zendaya kuhusu mtindo wake wa rasta katika tuzo za Academy.
E! wameamua kukipa kipindi mapumziko mpaka mwezi wa tisa, ambapo motto wa Joan River, Meliss River atachukua nafasi ya mama yake huku akiwa na Guliana pamoja na Brad Goreski.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…