SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Martin Kadinda Ashauri Warembo Kuhusu Mikataba
Habari

Martin Kadinda Ashauri Warembo Kuhusu Mikataba 

Ikiwa bado tupo kwenye sintofahamu kuhusu nani atashiriki Miss World kati ya Rosey Manfere na Juliana Rumugisa. mbunifu Martin Kadinda ametoa maoni au ushauri wake kwa warembo katika Tasnia hii ya mitindo.

Akihojiwa na Iamchombo kutoka Zamaradi Tv, Martin aliulizwa kuhusu sakata hili la Miss Tanzania na ushauri wake mkubwa ulikuwa kusoma , na sio kusoma tu bali ukafafanuliwa na kuamua kabla ya kusaini.

Well mpaka sasa bado Basata hawajaamua au kutoa tamko lolote kuhusiana na sakata hili.

Related posts