SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mashindano Ya Miss Tanzania Yafutwa
Habari

Mashindano Ya Miss Tanzania Yafutwa 

Mwaka 2014 mashindano haya yalifungiwa kwa miaka miwili kutokana na ubabaifu wa waandalizi lakini yakaja kuruhusiwa mwaka 2015 baada ya kusema kuna mabadiliko na tukampata Miss Tanzania 2016 Diana Lukumay imeonekana serikali bado haijaridhishwa na mashindano haya na kuamua kuyafuta kabisa leo Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe amesema amepiga marufuku mashindano ya miss Tanzania na Tuzo za muziki

Amesema mashindano ya Miss Tanzania yamegubikwa na ubabaishaji kwenye utoaji wa tuzo na wamekuwa wakiwasotesha watoto wetu kwa mwaka mzima wakijiandaa na tuzo hizo lakini mwisho kuwapa zawadi inakuwa ni usumbufu

Ameongezea kwa watakaotaka kuandaa mashindano hayo zawadi wanazoahidi kuwapa washindi ziwekwe ofisini kwake

Kwa sasa wanakaa chini na wadau wa burudani juu ya mashindano hayo ila wanataka ziwe na (guaranteed sustainability) muendelezo wa uhakika na sio kufanyika kwa kubahatisha

Kwenye tuzo za muziki waziri amesema tuzo za muziki zilikuwa zikitegemea watu wakinuna basi hakuna tuzo hizo na pia zinahitaji marekebisho

source @jamiiforums 

Related posts

2 Comments

  1. all slot auto wallet

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/habari/mashindano-ya-miss-tanzania-yafutwa/ […]

  2. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/mashindano-ya-miss-tanzania-yafutwa/ […]

Leave a Reply