SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Master Jay Serving Minimalist Style
Habari

Master Jay Serving Minimalist Style 

Producer wa muziki Master Jay ameonekana kuwa na style mpya, kama hukua unajua Master Jay alikata nywele rasta zake kwa sababu zake binafsi kwa sasa ananyoa tu nywele fupi. Seems like hajafanya mabadiliko haya kwenye nywele tu bali na kabati lake.

Kwa sasa tumeona anapenda na hii style yake mpya ambapo sisi tunaiita minimalist style anavaa rangi zilizotulia na vitu vichache lakini ananogesha mavazi yake kwa kutumia accessories kama miwani, mkufu, na saa.

Tunapenda namna hatumii vitu vingi kwenye muonekano wake na bado anaonekana stylish na age appropriate.

Afromates tuambie kwako umependa nini kutoka kwa Master Jay?

Related posts