SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAWAZO YETU KWENDA KWA MISS TANZANIA
Habari

MAWAZO YETU KWENDA KWA MISS TANZANIA 

Ikiwa ni siku 21 tu toka Diana Lukumai atwae taji la Miss Tanzania yamesha tokea mambo mengi ambayo yame tusikitisha si kama wahariri wa mitindo bali pia kama Wa Tanzania.

Mambo mengi yame onekana ambayo si ya kufuraisha ikiwepo Miss Tanzania kulalamikia uongozi wake kwa kuto muandaa vyema na pia makosa katika picha zake zilizopo katika website ya Miss World,

Make up- make up ya miss Tanzania katika picha zake hizo si ya kuridhisha na si picha zilizopo bali hata zile anazo zipost katika mitandao ya kijamii, hii husababisha watu wafanye masikhara kuhusu muonekano wake ina weza kumpelekea Siana kupata stress cha nini afanye ili Hasitaniwe, Kwetu tunadhani mtu anae mremba Diana ajue kwamba si tu ana mremba Diana bali ana remba nembo ya Tanzania ambayo itatubeba katika Kichang’anyiro cha Miss world miezi michache ijayo. Kumremba Diana vizuri akaonekana kapendeza pia ita mpa exposure mrembaji kama kila mtu ata msifia Diana basi na yeye jina lake litakua.

Styling – Style ya Diana bado haiko sawa ni kama ana jivalisha na kujistyle mwenyewe ni kama hana watu wa kumshauri nyuma yake, Diana we are with you in this kama una tatizo ongea waambie watu huna hiki huna kile tuna dhani ukisema watu wata kuwa willing kukusaidia dont go through this alone, kama huna namba zao ma stylist kama swalha, lavidoz, rio, noel au wabunifu kama Martin, Ally Rehmtullah au Mustafa na wengineo sasa hivi kuna mitandao ya kijamii ingia direct messageĀ  ongea nao nadhani hakuna ambae hato taka kumstyle Miss Tanzania ambae anaenda Miss World sio tu watapigania kuku style kwa ajili ya Nchi bali pia wata taka kutangaza majina yao. Tumeona jinsi watu walivyo pigania kuwa style wasanii fiesta na hii ikaongelewa sana katika mitandao ya kijamii kama utawa ruhusu hawa watu we are 100% wana weza kufanya wonders.

x14145582_1748652298741370_1039325647_n.jpg.pagespeed.ic.srgqZhhXRD

communication – kuwa karibu na watu ongea nao, yah tunajua umesha kuwa mkubwa una weza kuambiwa usijibu watu na hivi na vile lakini mara moja moja jaribu kuongea nao kwa sasa Tanzania ina nguvu kubwa sana watu wana piga sana kura zinapo kuja katika Tuzo zinazo takiwa kurudi Tanzania, ume post picha ume andika tu watu wa click link kwenye bio bila kutoa maelezo yoyote kama kuna kupiga kura au lah watu wakaaza kuuliza na hukujibu hata moja its ok kuto kumjibu mmoja mmoja unge post, post nyingine yenye maelezo kamilifu.

Kuwa wewe – be you ukiona ume pambwa huja penda ongea, kuna vitu vingi vina endelea duniani katika maswala ya urembo kuna kitu kama natural hair movement, sasa hivi tunaona watu mbali mbali wakiwa wana tangaza culture ya Africa kwa namna mbali mbali kwa kuvaa vitenge, African beads (shanga) kunpigania rangi nyeusi, una hivi vyote kuhusu mu-Africa una rangi, uzuri urefu na pia una natural hair ukiona kwamba huu urembo wao haukupendezi tumia uhalisia wako una weza kukupeleka mbali zaidi kuliko wanavyo kuremba ovyo.

Waandaaji wa Miss tanzania ina bidi mjue kwa sasa Dunia ime kuwa kijiji si kama zamani watu wana subiri kupewa taarifa kupitia magazeti, sasa hivi watu wana fuatilia kila kitu mitandaoni tafadhalini muwe serious katika maswala yanayo gusa kila m-Tanzania, tuzibeni midomo tusiwe na cha kuongea na mjiepushe na hizi lawama za kila mwaka, jaribuni kuona Dunia ina endaje kwa sasa, Watanzania wame choka kushika mikia kila mwaka turekebishe pale tulipo kosea sasa, Diana aandaliwe na kupewa support ya kutosha kutoka kwenu na kila m-Tanzania. Leo Tunaishia Hapa Alaam Seeky

 

Related posts