SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mbunifu Sophie Theallet  Amekataa Kumvalisha Mke Wa Trump
Habari

Mbunifu Sophie Theallet Amekataa Kumvalisha Mke Wa Trump 

Wakati wengine wakiwa wanaota kumvalisha hata msanii chipukizi kwa mbunifu Sophie Theallet ime kuwa tofauti, Sophie Theallet ame kuwa akimvalisha Former 1st Lady Michelle Obama, ambaye ame ondoka white house akisifiwa kwa style zake za mavazi all thanks to Sophie Theallet lakini mbunifu huyu ame kataa katu katu kumvalisha 1st lady wa sasa kutokana na sera za kibaguzi za mumewe.

GettyImages_621870724.0

Sophie Theallet ametoa tamko hilo kupitia barua ambayo pia ali i share twitter kuelezea uamuzi wake huo

Cxf2bkHXcAAltYr

baada ya kuona msimamo huu wa mbunifu  Sophie Theallet, we can’t help but wonder Je Familia ya Trump ita pata mbunifu atakaye kubali kuwa valisha au wote wata simamia alipo simama  Sophie Theallet

 

 

Related posts