Vanity Fair Mexico is savage, ikiwa ndani muda mchache baada ya Rais Donald Trump kuingia madarakani na kutaka kuendeleza mpango wake wa kujenga ukuta as mpaka kati ya Mexico na Nchi yake, ambapo Rais Wa Mexico aligoma kusaidia kujenga huo ukuta.
Vanity Fair wakaona ni muda mzuri wa wao kutoa cover ya mke wa Rais Donald Trump katika gazeti lao, japo watu wana sema haikua muda muafaka kwa sisi tuna sema why not? wana taka kuuza gazeti na kitu kinacho endelea sasa ni kuhusu Donald Trump na Rais wa Mexico kwa nini wasitumie Cover ya Melania? for all we know watu watanunua gazeti na kujua kuna nini ndani yake.
katika hio cover Melania anaonekana akiwa ameshika uma kama ana kula Jewelry, japo ina semekana picha ilipigwa muda mrefu wakani Melania ana fanya shooting ya Philadelphia Style mwaka 2011 wakati ana promote h QVC jewelry collection yake.
SO ina semekana wapiga picha wa huko kwa wenzetu wana ruhusiwa kuuza au kugawa picha zao kwa watu wengine baada ya kipindi fulani cha muda kufikia au kupita
unaweza kuona hapa watu wakitumia hii picha kabla hata ya Melania kuwa first lady wa USA, katika hii
Are we not going to address the fact that Melania Trump is twirling jewelry with a fork LIKE SPAGHETTI??
4:55 AM – 11 Nov 2016
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/melania-trump-katika-cover-ya-vanity-fair-mexico/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/melania-trump-katika-cover-ya-vanity-fair-mexico/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/melania-trump-katika-cover-ya-vanity-fair-mexico/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/melania-trump-katika-cover-ya-vanity-fair-mexico/ […]