SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Michael B. Jordan Is PEOPLE’s Magazine Sexiest Man Alive 2020
Habari

Michael B. Jordan Is PEOPLE’s Magazine Sexiest Man Alive 2020 

Gazeti la people’s huwa linatoa jarida la Sexiest Man Alive kila mwaka ambapo watu maarufu mbalimbali wa kiume walisha shika nafasi hio akiwepo Idris Elba, John Legend, Dwayne Johnson na wengine wengi. Gazeti hili limeanza kutoa hili jarida toka mwaka 1985.

Mwaka huu muigizaji Michael B Jordan ambae ameigiza katika movie mbalimbali ambazo ni iconic ikiwepo Black Panther ametajwa kuwa ndie sexiest man alive kwa mwaka huu 2020.

Michael ameongelea vitu vingi kwenye jarida hili ikiwepo malengo yake ya baadae, unaweza kusoma na kuangalia interview yake nzima hapa Michael B. Jordan Is PEOPLE’s Sexiest Man Alive 2020

Well mates tuambieni hapo chini je amestahiki hili taji?

Related posts

2 Comments

  1. download youtube videos free

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/michael-b-jordan-is-peoples-magazine-sexiest-man-alive-2020/ […]

  2. earn passive income

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/michael-b-jordan-is-peoples-magazine-sexiest-man-alive-2020/ […]

Comments are closed.