Mwanamuziki Miley Cyrus ambae wengi tume mjua kutokana na kuigiza katika series ya Hannan Montana iliyo kuwa inaonyeshwa katika Disney Channel, Well Miley alikuja kubadilika kabisa kutoka kwenye Hannan Montana mpaka kwenye scandal za kuvuta bange na kuvaa nusu utupu seems like love can conquer it all maana baada ya kurudiana Miley anaonekana kubadilika na kurudi alipo toka on top of it ana sema havuti tena bangi, hasikilizi tena hip hop nk. hii ni interview yake na jarida la billboard
“I haven’t smoked weed in three weeks, which is the longest I’ve ever [gone without it]. I’m not doing drugs, I’m not drinking, I’m completely clean right now! That was just something that I wanted to do,” she tells the publication. “When I want something, it’s fucking easy for me. But if anyone told me not to smoke, I would have not done it. It’s because it was on my time. I know exactly where I am right now.
She explains, “I like to surround myself with people that make me want to get better, more evolved, open. And I was noticing, it’s not the people that are stoned. I want to be super clear and sharp, because I know exactly where I want to be.”
Since rekindling her romance with Hemsworth in late 2015, the 24-year-old has been working on a secret album that is a complete 180 degrees from her previous one. “Malibu,” the record’s first single that’s slated to be released May 10, is about her romance with the Hunger Games actor.
“They’re going to talk about me if I come out of a restaurant with Liam. So why not put the power back in my relationship and say, ‘This is how I feel,” Cyrus reasons.The couple, who met on the set of 2010’s The Last Song, broke things off in 2013. Though they’ve since reconciled, Cyrus believes the breakup actually helped both of them become the people they are today.
Cyrus admits the evolution has also impacted her approach to music, saying, “All the nipple pastie shit, that’s what I did because I felt it was part of my political movement, and that got me to where I am now. I’m evolving, and I surround myself with smart people that are evolved.”
“But not granola,” she adds of her new sound. “I don’t listen to Ed Sheeran and John Mayer and stuff.”
Well Way To Go Miley We can’t Wait For The New Album
Credit – Billboard
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/miley-cyrus-bringing-back-the-hannah-montana-on-billboard-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 48629 additional Information on that Topic: afroswagga.com/habari/miley-cyrus-bringing-back-the-hannah-montana-on-billboard-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/miley-cyrus-bringing-back-the-hannah-montana-on-billboard-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/miley-cyrus-bringing-back-the-hannah-montana-on-billboard-magazine/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/miley-cyrus-bringing-back-the-hannah-montana-on-billboard-magazine/ […]