Mrembo wa kimataifa toka hapa nchini Tanzania anayefanya shughuli zake barani Ulaya Miriam

Odemba, Ambaye ni miongoni mwa warembo bora wanaofanya vizuri zaidi tulipata kubalikiwa katika

nchi yetu ya Tanzania.

hqdefault

Odemba hakusita kuweka wazi moja ya ndoto yake ambapo alisema “Ndoto yangu ni kusaidia jamii, hii

nimekuwa nikifikiria mara kwa mara.Nataka kufungua shule ambayo itasaidia walio wengi unajua bado

kuna changamoto katika elimu, Wapo wananilaumu kupitia mitandao ya kijamii na wengine kutaka

msaada lakini pia wanataka kuwa mimi, lakini haiwezekani kuwa mimi.”

Odemba pia hakuacha kuwashauri warembo wengine ambapo alisema “Hata ukiwa na meneja kama

kitu hujakipenda huwezi kufanikiwa”

Source Mkasi Tv

Comments

comments